NGUVU YA MALENGO PRO SEMINA AGOSTI 2025

NGUVU YA MALENGO PRO SEMINA AGOSTI 2025

 

SEMINA! SEMINA! SEMINA!

🎯 NGUVU YA MALENGO PRO 2025🗝

Na Wakufunzi;

1. Victor Mwambene 
Mada: Fedha na Uwekezaji

2. Godian Dyanka 
Mada: Nguvu ya Malengo

Je, unataka kujua Siri, Kanuni  na Mbinu za Kuweka na Kutimiza Malengo yako?

Usihofu, tumekuandalia semina maalumu itakayobadilisha maisha yako🗝

Utajifunza:
✅Jinsi ya Kuamsha UWEZO
✅Misingi+Hatua za Malengo 
✅Mbinu za kubainisha FURSA
✅Fedha na Uwekezaji nk.

💬 Baada ya semina hii, utakuwa na Mpango wa Malengo wa siku 90 utakaobadilisha maisha yako mara moja.

Kaa mkao wa kula madini ya ubongo👇

🤳Tarehe 30 August, 2025
⏰Saa 9:00 Alasiri – 12 Jioni
📌Online-ZOOM 

💰 Ada: 25,000 TZS Tu! Lipia kwenda M-Pesa: 0767129875 (Godian Dyanka) au LIPA no. 67662869

📢OFFER: Lipia 10K@1 kwa watu 10 wa kwanza LEO tu!

 🤳Tuma uthibitisho WhatsApp ili USAJILIWE 

🎁BONUS: Utapata;


 eBOOK na AudioBOOK - Nguvu ya Malengo BURE. BONUS hizi zina thamani ya 35,000TZS

Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida, Kuwa Mtu wa Tofauti UNAWEZA 💪

ThinkSMARRTT Ishi Ndoto Yako 🎯🗝📡

Back to blog

Leave a comment