NGUVU YA MALENGO PRO 2026_SEMINA

NGUVU YA MALENGO PRO 2026_SEMINA

Heri ya Christmas na Mwaka Mpya!

Mtwara Kucheleee...! JISAJILI leo

⏰Zimebaki nafasi chache!

🗝️Fanya maamuzi sahihi LEO, chukua hatua sasa Ku-JISAJILI na kupata kadi yako.

Je, uko tayari kubadili maisha yako? Usihofu, tumekuandalia semina kabambe itakayobadili maisha yako 2026👆

... Guaranteed!

Utajifunza:
✅Jinsi ya Kuamsha UWEZO
✅Misingi+Hatua za Malengo 
✅Mbinu za kubainisha FURSA
✅Ukombozi wa Fikra nk

💬 Baada ya semina hii, utakuwa na Mpango wa Malengo wa siku 90 utakaobadilisha maisha yako🤴

Kaa mkao wa kula madini ya ubongo👇
🤳 Tarehe: 27 Dec, 2025
⏰ Muda: Saa 2:00Asubuhi – 12Jioni

📌 Ukumbi: Luwa Hotel-Mtwara 

 💰 Ada: 39,000 TZS Tu! 👆 Lipia kwenda M-Pesa: 0767129875 (Godian Dyanka) au LIPA no. 67662869

 🤳Tuma uthibitisho WhatsApp ili USAJILIWE

🎁Hii ni FURSA ya kipekee

Weka Malengo, Panda Mbegu ya Mafanikio 🌳

Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida, Kuwa Mtu wa Tofauti UNAWEZA💪

ThinkSMARRTT 🎯🗝️🤴

Godian Dyanka 
#Safety Consultant & Author

Back to blog

Leave a comment