Learning And Changing

Semina ya Mtandaoni: Nguvu ya Malengo 2026 – Badili Maisha Yako na Ufikie Ndoto Zako!

Semina ya Mtandaoni: Nguvu ya Malengo 2026 – Ba...

Je, unatamani kutoka kwenye maisha ya kawaida na kuwa mtu wa tofauti anayefikia malengo makubwa? Programu ya ThinkSMARRTT inakualika kushiriki katika semina ya pekee ya mtandaoni inayolenga kukupa mbinu za...

ISHIMWE FISH FARM - SIRI YA MAFANIKIO: Ufugaji wa Sato Kupitia Mfumo wa Maji Yanayozunguka (RAS)

ISHIMWE FISH FARM - SIRI YA MAFANIKIO: Ufugaji ...

 Je, unajua kuwa unaweza kufuga samaki wengi zaidi kwenye eneo dogo na kwa muda mfupi? Katika video hii, tunakuingiza ndani ya ulimwengu wa ufugaji wa kisasa wa samaki aina ya...

HATUA ZA KUWEKA MALENGO - NA GODIAN DYANKA

"Malengo bila mpango ni ndoto tu." Je, umewahi kujiuliza kwa nini watu wengi huishia kuishia njiani baada ya kuanza mwaka au mradi mpya kwa mbwembwe? Siri haipo kwenye "kutamani" kufika...

MISINGI YA MALENGO

MISINGI YA MALENGO

Je, unajua kuwa msingi mbovu ndio sababu kuu ya malengo mengi kufeli? Katika video hii, Godian Dyanka anashuka ndani zaidi kutufundisha Misingi ya Malengo. Huwezi kujenga ghorofa kwenye mchanga; vivyo...

KANUNI ZA KUWEKA MALENGO

KANUNI ZA KUWEKA MALENGO

Watu wengi wana "matamanio," lakini wachache wana "malengo." Tofauti yao iko kwenye Kanuni. Katika video hii, mkufunzi Godian Dyanka anafundisha kanuni zisizobadilika ambazo kila Gwiji anapaswa kuzifuata ili kufikia kilele...

NGUVU YA MALENGO

NGUVU YA MALENGO

Je, unajua kuwa lengo lililoandikwa lina nguvu ya kukuongoza hata pale unapokata tamaa? Katika video hii, mkufunzi Godian Dyanka anafafanua jinsi "Malengo" yanavyoweza kugeuka kuwa injini inayokusukuma kuelekea kwenye mafanikio...