
NGUVU YA MALENGO 2025
Share
Semina,Semina,Semina_ZOOM![]() ![]() ![]() Na Wakufunzi;
1.GODIAN DYANKA
2.DENIS MPAGAZE
Iwapo bado hauja JISAJILI, fanya maamuzi sahihi sasa kwani offer ya 5,000TZS inaisha leo usiku. Kuanzia kesho ada ya semina ni 10,000TZS
KUMBUKA Maisha ni kupanga, kupanga ni kuchagua aina ya maisha uyatakayo. Ili kufikia viwango vya juu na kuishi ndoto yako lazima uwe na Malengo na Mipango mkakati
![]() ![]() ![]() Karibu ujifunze Siri, Kanuni na Mbinu za Mafanikio ili kukujengea UWEZO
![]() ![]() Hakika hii ni semina adhimu,hakikisha unahudhuria pamoja na rafiki yako
![]() |