NGUVU YA MALENGO 1.0: KWA NINI TUNAPASWA KUWEKA MALENGO KATIKA MAISHA YETU

NGUVU YA MALENGO 1.0: KWA NINI TUNAPASWA KUWEKA MALENGO KATIKA MAISHA YETU

 Godian Dyanka ni mwandishi wa vitabu vya THINKSMARRTT ikiwemo NGUVU YA MALENGO & JENGA UWEZO. Pia kitaaluma ni mshauri wa maswala ya Afya na usalama mahala pa kazi. Katika mfululizo huu wa vipindi vya NGUVU YA MALENGO Mr. Dyanka anatupa darasa kuhusiana na nini maana ya malengo na jinsi gani tunaweza kujitambua kwa kutegemea malengo tunayojiwekea kama "Dira".
NGUVU YA MALENGO 1.0 : KWA NINI TUNAPASWA KUWEKA MALENGO?

 

Back to blog

Leave a comment