Godian Dyanka ni mwandishi wa vitabu vya THINKSMARRTT ikiwemo NGUVU YA MALENGO & JENGA UWEZO, Pia kitaaluma ni mshauri wa maswala ya Afya na usalama mahala pa kazi. Katika mfululizo huu wa vipindi vya NGUVU YA MALENGO na katika Episode hii Mr. Dyanka anatupa darasa kuhusina na nini tunapaswa kufanya ili kuyafikia malengo yetu.
|