Semina ya Mtandaoni: Nguvu ya Malengo 2026 ā Badili Maisha Yako na Ufikie Ndoto Zako!
Share
Je, unatamani kutoka kwenye maisha ya kawaida na kuwa mtu wa tofauti anayefikia malengo makubwa?
Programu ya ThinkSMARRTT inakualika kushiriki katika semina ya pekee ya mtandaoni inayolenga kukupa mbinu za vitendo za kuweka malengo, kusimamia fedha, na kujenga maono endelevu ya maisha yako.
š Mada Kuu na Wawezeshaji:
- Godian Dyanka: Misingi ya Mafanikio, Nguvu ya Malengo, na Fedha na Uwekezaji wenye Tija.
- Mwl. Glory Kwayu: Nguvu ya Maono.
- Patson Chaula: Akiba na Uwekezaji.
š Taarifa za Semina:
- Tarehe: 29 Agosti 2026
- Muda: Saa 9:00 Alasiri ā 12:00 Jioni
- Eneo: Online (ZOOM)
- Ada ya Mafunzo: TZS 19,999/= Tu!
š BONUS YA ZIADA: Kila mshiriki atapata eBook na Audio Book ya "Nguvu ya Malengo" BURE!
š² Jinsi ya Kujisajili na Kulipia:
- Lipa Ada yako ya TZS 19,999/= kupitia Lipa Namba: 67662869 (Vodacom / M-Pesa).
- Tuma uthibitisho wa malipo au wasiliana nasi kupitia WhatsApp:Ā 0767 129 875 ili kupatiwa link ya Zoom na vifaa vya mafunzo.
- Jisajili kiurahisi kwa ku-scan Barcode inayopatikana kwenye picha ya tangazo letu.
"Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida. Kuwa Mtu wa Tofauti. Unaweza!"
Weka Malengo | Panda Mbegus ya Mafanikio!

Ā