
NGUVU YA MALENGO PRO SEMINA
Share
Je, unataka kujua Siri, Kanuni na Mbinu za Kuweka na Kutimiza Malengo yako? Usihofu, tumekuandalia semina maalumu itakayobadilisha maisha yako🗝 Utajifunza: ✅Misingi na Hatua za Malengo ✅Siri za kubainisha FURSA ✅Mbinu za Kuwa Mtu wa Tofauti Katika Dunia ya Sasa yenye ushindani mkubwa nk. 💬 Baada ya semina hii, utakuwa na Mpango wa Malengo wa siku 90 utakaoanza kubadilisha maisha yako mara moja. ⏰ Tarehe 07 June: Saa 9:00 Alasiri – 12:00 Jioni_Online. 💰 Gharama: 10,000 TZS Tu! 🎁BONUS: Utapata; WAKUFUNZI; 2.Godian Dyanka (Consultant) ⏳Zimebaki nafasi 7 tu!Fanya maamuzi sasa!Usikubali kupitwa. Kataa Kuwa Mtu wa Kawaida, Kuwa Mtu wa Tofauti UNAWEZA 💪🏆📢 ThinkSMARRTT Pamoja Tunaweza Zaidi 🎯🗝📡 |